Huyu hataki nini?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Kwa mawazo yako, hapa nn kinaendelea?
 

Attachments

  • 1410277810041.jpg
    21.6 KB · Views: 1,095
Wanawake kwa kudeka ni balaa, hapo kama jamaa anajua kubembeleza ndo kabisaaa katadeka hapo
 
Mjamzito, jamaa anamuambia tutoe mlimbwende hataki kutoa
 
Anataka galaxy S4 na ipad pamoja na slim powerbank
 
Demu anataka jamaa marushie laki 7 kwenye Mpesa sasa jamaa anayeshusha kibomu hicho
 
Wanawake kwa kudeka ni balaa, hapo kama jamaa anajua kubembeleza ndo kabisaaa katadeka hapo

Umeona eeh? Raha ya kudeka umpate anayejjua kubembeleza bwana lol. Ila kuna wanaume wadekaji pia
 
binti anataka harusi ya milioni 30... jamaa ana milioni mbili, sasa ndio anajaribu kujieleza somo lieleweke wakuu AU NIMEKOSEA..???
 
Jamaa kaweka 'mkanda wa X' ndo anambembeleza aangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…