Huyu Elon Musk ni nani?

Huyu Elon Musk ni nani?

Jamaa bingwa wa ku divorce sababu amekomaa na hayo maroketi yake demu hamuoni mpaka kwa appointment maalum
 
Elon Reeve Musk ni mmoja wa wanadamu wanaotumia maarifa(Ufahamu) vizuri Elon ni member wa lile kundi lijulikanalo kama paypal mafia yeye pamoja na wenzake 6 yani Peter Thiel, Elon Musk, Reid Hoffman, Luke Nosek, Ken Howery, na Keith Rabois walitengeneza PayPal mtandao wa biashara ya kimataifa unaoruhusu malipo na uhamisho wa fedha kufanywa kupitia mtandao ambapo mwaka 2002 waliuza kwa kiasi cha Usd 1.5 Billion kwa Ebay ambapo Elon alipata $165 million kama mgao wake kutokana na kuwa mwenye share kubwa.

Elon R. Musk ni mzaliwa wa South Africa lakini anauraia wa nchi tatu Canada alipata uraia mwaka 1989 na US alipata uraia mwaka 2002 Elon huku South Africa anauraia wa kuzaliwa Elon Musk ni mtu wa 83 duniani kwa utajiri akiwa na utajiri wa Usd 11.5 Billion alianza kufanya coding akiwa na miaka 12 ambapo alitengeneza Game la blast star kuliuza kwa dola 500 mwaka 1995 yeye na kaka yake walianzisha kampuni ya software iliyojulikana kama Zip2 hii ilikuwa ni kama ilivyo Google Map leo kwa mtaji wa 28000 na mwka 1999 waliiuza na Musk alipokea 7% au dola milioni 22 kama mgao wake ambapo March 1999 walianzisha Confinity then X.com, huduma za kifedha mtandaoni na kampuni ya malipo ya barua pepe. Mwaka mmoja baadae Paypal .

Juni 2002, Elon Musk alianzisha SpaceX kwa mtaji wa Usd 12 Million Elon anamiliki hisa 20-30% katika kampuni za Tesla, Solar City, na SpaceX

Musk ni mmoja wa watu wanaoamini AI(Artificial-Intelligence) kuwa ndio threat kubwa kwa wanadamu siku zijazo pia anaamini kuwa Dunia itakuwa salama kama kila mwanadamu akitumia energy inayotokana na jua Dunia itakuwa sehemu salama sana kuliko tukiendelea kutumia energy inayotokana na Gas,Maji na Nuclear kupitia mawazo yake na kuamini kwake sasa anajenga kiwanda kikubwa na ambacho kitakuwa ndio jengo kubwa la 2 Duniani kwa upana jengo hilo linajulikana kama Gigafactory linalopatikana Storey County, Nevada, U.S. ambapo ujenzi wake ulianza mwaka January 2015 utakamilika mwaka 2020 ambapo kikianza kazi ndani ya mwaka mmoja kitakuwa kimezalisha Battery nyingi zaidi ya bettery zote zilizozalishwa toka dunia ianze .ndoto yake ni kuwa bei ya gari ya Tesla Model 3 ambayo inatumia umeme kuwa chini kuliko bei ya gari ya kutumia mafuta pia anataka bei ya solar panel zake za magical loof kuwa chini kuliko bei za bati na vigae
 
Kama yuko tayari kuwa spermicide donner mnitaarifu, ni shost anamhitaji
 
Wewe ni kama umeleta mada isiyo na maana halisi kwako zaidi ya kutafuta wachangiaji tu.ukiuliza watu huyo mtu ni nani na umeweza kupata mambo mengi yanayomhusu huyo mtu na kuyaweka hapa alafu unatuuliza tena hyo mtu ni nani,au sisi ndo tulipaswa kukuuliza wewe utueleweshe huyo mtu ni nani.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Huyu ni mzungu mzaliwa wa Africa kusini kwa sasa ana uraia wa Marekani ni kati ya ma 'genius' watu wenye akili nyingi waliopo duniani kwa sasa ni mtu ambaye anataka kubadilisha kabisa baadhi ya mambo hapa duniani kutokana na ugunduzi wake, kwa mfano kutoka kutumia magari ya mafuta na kuanza kutumia magari yanayotumia umeme na nishati ya jua hii ni pamoja na magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva, ana 'project' nyingine kubwa ya kupeleka binadamu kuishi kwenye sayari ya Mars. Ana project nyingine ya 'HYPERLOOP' hii ni teknolojia ya treni yenye kasi zaidi na salama ambayo itakuwa inatumia mwendo kasi wa kilomita 1200 kwa saa, treni hii itakuwa inapita ndani ya 'tunnel' ambalo halina hewa 'vacuum' na kuifanya ikimbie zaidi kwa kutumia umeme kidogo sana. Project nyingine kubwa anategemea kurusha 'satellite' 4425 kwa ajili ya mawasiliano ya simu na 'internet' na atafanya mawasiliano yapatikane kokote ulipo duniani kwa gharama nafuu zaidi kuliko sasa. Hizo ndizo baadhi ya project zake chache na ndiye anayetegemewa kuja kuwa tajiri namba moja duniani siku zijazo.
Pia Musk na wenzake ndio waanzilishi wa kampuni ya PayPal.
 
Wewe ni kama umeleta mada isiyo na maana halisi kwako zaidi ya kutafuta wachangiaji tu.ukiuliza watu huyo mtu ni nani na umeweza kupata mambo mengi yanayomhusu huyo mtu na kuyaweka hapa alafu unatuuliza tena hyo mtu ni nani,au sisi ndo tulipaswa kukuuliza wewe utueleweshe huyo mtu ni nani.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hebu sema kwa kifupi.., ulitaka mleta mada afanyeje ili hiyo mada yake iwe na maana kwako..?!
 
Huyu ni mzungu mzaliwa wa Africa kusini kwa sasa ana uraia wa Marekani ni kati ya ma 'genius' watu wenye akili nyingi waliopo duniani kwa sasa ni mtu ambaye anataka kubadilisha kabisa baadhi ya mambo hapa duniani kutokana na ugunduzi wake, kwa mfano kutoka kutumia magari ya mafuta na kuanza kutumia magari yanayotumia umeme na nishati ya jua hii ni pamoja na magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva, ana 'project' nyingine kubwa ya kupeleka binadamu kuishi kwenye sayari ya Mars. Ana project nyingine ya 'HYPERLOOP' hii ni teknolojia ya treni yenye kasi zaidi na salama ambayo itakuwa inatumia mwendo kasi wa kilomita 1200 kwa saa, treni hii itakuwa inapita ndani ya 'tunnel' ambalo halina hewa 'vacuum' na kuifanya ikimbie zaidi kwa kutumia umeme kidogo sana. Project nyingine kubwa anategemea kurusha 'satellite' 4425 kwa ajili ya mawasiliano ya simu na 'internet' na atafanya mawasiliano yapatikane kokote ulipo duniani kwa gharama nafuu zaidi kuliko sasa. Hizo ndizo baadhi ya project zake chache na ndiye anayetegemewa kuja kuwa tajiri namba moja duniani siku zijazo.
Swadakta kabisa..na pia ni mwanzilishi wa kampuni ya PayPal wakati huo akiwa na mwenzake Peter Thiel..Elon Musk kwa kweli ni super genius
 
Huyu ni mzungu mzaliwa wa Africa kusini kwa sasa ana uraia wa Marekani ni kati ya ma 'genius' watu wenye akili nyingi waliopo duniani kwa sasa ni mtu ambaye anataka kubadilisha kabisa baadhi ya mambo hapa duniani kutokana na ugunduzi wake, kwa mfano kutoka kutumia magari ya mafuta na kuanza kutumia magari yanayotumia umeme na nishati ya jua hii ni pamoja na magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva, ana 'project' nyingine kubwa ya kupeleka binadamu kuishi kwenye sayari ya Mars. Ana project nyingine ya 'HYPERLOOP' hii ni teknolojia ya treni yenye kasi zaidi na salama ambayo itakuwa inatumia mwendo kasi wa kilomita 1200 kwa saa, treni hii itakuwa inapita ndani ya 'tunnel' ambalo halina hewa 'vacuum' na kuifanya ikimbie zaidi kwa kutumia umeme kidogo sana. Project nyingine kubwa anategemea kurusha 'satellite' 4425 kwa ajili ya mawasiliano ya simu na 'internet' na atafanya mawasiliano yapatikane kokote ulipo duniani kwa gharama nafuu zaidi kuliko sasa. Hizo ndizo baadhi ya project zake chache na ndiye anayetegemewa kuja kuwa tajiri namba moja duniani siku zijazo.
Duh kweli siku hizi tekinolojia ndiyo kila kitu kwa habari ya maendeleo ya kidunia
 
Najua ni raia wa Africa Kusini mzaliwa wa Pretoria. Ambaye alikimbilia Canada baada ya serikali ya makaburu kumtaka ajiunge na jeshi ili awe anatekeleza sera za kibaguzi za serikali hiyo.
Kwake yy aliona hiyo ni kero akaenda kutafuta maisha Canada na baadae USA ambako amekuwa mbunifu na mwekezaji.

Ukiacha kampuni yake maarufu ya magari yanayoendeshwa kwa umeme ya Tesla na ile ya anga ya Space X, Elon Musk pia ndiyo mbunifu wa technolojia ya usafiri wa kasi "hyperloop" ambayo bado ipo kwenye design stage.

Hyperloop - Wikipedia

SpaceX - Wikipedia

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Tesla,_Inc.
Basi kama ndiyo hivi huyu jamaa yupo vizuri hata kiuchimi pia.
 
Tanzania Tanzania nchi yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Ukitaka kujua sisi ni watu maskini sana duniani soma coments! And smart phone owners are those guys who can have over 1$ per day! South African by birth moved to Canada then US! Hana akili kama mnavyosema! Ila he is optimistic and nasa saw something in him! Dunia ni kubwa kumweka Elon as one of the greatest minds ni kutu aibisha binadamu! Best quote by him “never hire an MBA” [emoji23][emoji23]
Kiongozi MBA ndiyo nini?
 
Elon Reeve Musk ni mmoja wa wanadamu wanaotumia maarifa(Ufahamu) vizuri Elon ni member wa lile kundi lijulikanalo kama paypal mafia yeye pamoja na wenzake 6 yani Peter Thiel, Elon Musk, Reid Hoffman, Luke Nosek, Ken Howery, na Keith Rabois walitengeneza PayPal mtandao wa biashara ya kimataifa unaoruhusu malipo na uhamisho wa fedha kufanywa kupitia mtandao ambapo mwaka 2002 waliuza kwa kiasi cha Usd 1.5 Billion kwa Ebay ambapo Elon alipata $165 million kama mgao wake kutokana na kuwa mwenye share kubwa.

Elon R. Musk ni mzaliwa wa South Africa lakini anauraia wa nchi tatu Canada alipata uraia mwaka 1989 na US alipata uraia mwaka 2002 Elon huku South Africa anauraia wa kuzaliwa Elon Musk ni mtu wa 83 duniani kwa utajiri akiwa na utajiri wa Usd 11.5 Billion alianza kufanya coding akiwa na miaka 12 ambapo alitengeneza Game la blast star kuliuza kwa dola 500 mwaka 1995 yeye na kaka yake walianzisha kampuni ya software iliyojulikana kama Zip2 hii ilikuwa ni kama ilivyo Google Map leo kwa mtaji wa 28000 na mwka 1999 waliiuza na Musk alipokea 7% au dola milioni 22 kama mgao wake ambapo March 1999 walianzisha Confinity then X.com, huduma za kifedha mtandaoni na kampuni ya malipo ya barua pepe. Mwaka mmoja baadae Paypal .

Juni 2002, Elon Musk alianzisha SpaceX kwa mtaji wa Usd 12 Million Elon anamiliki hisa 20-30% katika kampuni za Tesla, Solar City, na SpaceX

Musk ni mmoja wa watu wanaoamini AI(Artificial-Intelligence) kuwa ndio threat kubwa kwa wanadamu siku zijazo pia anaamini kuwa Dunia itakuwa salama kama kila mwanadamu akitumia energy inayotokana na jua Dunia itakuwa sehemu salama sana kuliko tukiendelea kutumia energy inayotokana na Gas,Maji na Nuclear kupitia mawazo yake na kuamini kwake sasa anajenga kiwanda kikubwa na ambacho kitakuwa ndio jengo kubwa la 2 Duniani kwa upana jengo hilo linajulikana kama Gigafactory linalopatikana Storey County, Nevada, U.S. ambapo ujenzi wake ulianza mwaka January 2015 utakamilika mwaka 2020 ambapo kikianza kazi ndani ya mwaka mmoja kitakuwa kimezalisha Battery nyingi zaidi ya bettery zote zilizozalishwa toka dunia ianze .ndoto yake ni kuwa bei ya gari ya Tesla Model 3 ambayo inatumia umeme kuwa chini kuliko bei ya gari ya kutumia mafuta pia anataka bei ya solar panel zake za magical loof kuwa chini kuliko bei za bati na vigae
Kwa hiyo analeta unafuu wa maisha duniani
 
jamaa ana akili kama mimi, sema mimi nipo kwenye serikali ya JPM ndo mana sionekani
 
Huyu ni mzungu mzaliwa wa Africa kusini kwa sasa ana uraia wa Marekani ni kati ya ma 'genius' watu wenye akili nyingi waliopo duniani kwa sasa ni mtu ambaye anataka kubadilisha kabisa baadhi ya mambo hapa duniani kutokana na ugunduzi wake, kwa mfano kutoka kutumia magari ya mafuta na kuanza kutumia magari yanayotumia umeme na nishati ya jua hii ni pamoja na magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva, ana 'project' nyingine kubwa ya kupeleka binadamu kuishi kwenye sayari ya Mars. Ana project nyingine ya 'HYPERLOOP' hii ni teknolojia ya treni yenye kasi zaidi na salama ambayo itakuwa inatumia mwendo kasi wa kilomita 1200 kwa saa, treni hii itakuwa inapita ndani ya 'tunnel' ambalo halina hewa 'vacuum' na kuifanya ikimbie zaidi kwa kutumia umeme kidogo sana. Project nyingine kubwa anategemea kurusha 'satellite' 4425 kwa ajili ya mawasiliano ya simu na 'internet' na atafanya mawasiliano yapatikane kokote ulipo duniani kwa gharama nafuu zaidi kuliko sasa. Hizo ndizo baadhi ya project zake chache na ndiye anayetegemewa kuja kuwa tajiri namba moja duniani siku zijazo.
Hili la treni ni la muhimu zaidi kwa nchi yangu.
Ina maana naweza kutoka Dar mpaka Arusha chini ya saa moja!?
 
Ngoja kidogo niwafumbue macho ndugu zangu WaTanzania

Nchi za wenzetu kila mtu anapewa nafasi Sawa ya kufanikiwa kwa kuwa kule mawazo au idea ya mtu inaheshimiwa na kulindwa kisheria......

Kwa mfano unaweza ukawa na wazo la jambo fulani lenye kuleta manufaa kwa jamii na kwako pia kiuchumi.......wewe tu kuwa na wazo hilo na wahusika kulifanyia kazi tayari unakuwa na share kwenye ugunduzi huo na wewe kupata haki zako.......jambo ambalo ni tofauti na nchi zetu.......

Elon Musk sio kwamba ni mwanadamu mwenye akili sana bali yupo kwenye nchi ambazo systems zake zinafanya kazi kwa manufaa ya raia......wote......

Ni nchi ambazo kuna kila aina ya mazingira ya wewe kufanikiwa na kuwa tajiri mkubwa....kinachongojwa ni wazo na au Uwezo wako nikiwa na maana kipaji......

Kama wewe ni bondia yapo mazingira mazuri ya wewe kuwa bondia hadi kufikia mafanikio yako

Kama wewe una kipaji cha kuimba yapo mazingira mazuri ya wewe kutimiza ndoto zako

Wapo vijana wengi barabi Afrika ambao wana uwezo mkubwa sana kiubunifu lakini mazingira yanawakwamisha ambapo kama wangekuwa kwenye nchi zenye mazingira mazuri wangekuwa msaada mkubwa sana kwa jamii na dunia kwa ujumla.......

Viongozi wetu wamejaa ubinafsi.....
 
Back
Top Bottom