Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,854
Binafsi Elon musk ndio binadamu ambaye natamani nipate walau dakika tano za kusalimiana naye
Vp wewe ambaye husomi umbea umefanya nini?NI KUTOKUA MVIVU WA KUFIKIRI TU NA UTHUBUTU... SIO KWAMBA ANA AKILI SANA KAMA MNAVOSEMA BAADHI YA WADAU... NYIE VITABU HAMSOMI MNASONA UMBEA TU HUKO FACEBOOK MTAWEZA KUFIKIR JUU YA MAMBO YA ULIMWENGU
Vp wewe ambaye husomi umbea umefanya nini?
hayo ni maoni kiongozi kama unaona ,hayana mashiko jibu kwa hoja ..jukwaa huru hili
well kukujibu tu swali lako bwana mdogo
NIJENGA NYUMBA KUBWA KWA AJILI
YA FAMILIA YANGU NA NINA MIRADI YANGU
MINGI AMBAYO SIPASWI KUKWAMBIA
HOJA NI UMBEA HAUSAIDII NA KUSHINDA MITANDAONI
BILA SABABU ZA MSINGI NI KUPOTEZA MUDA
UMENIELEWA MDOGO ANGU ... SOMA DOGO[/QUOT
hongera sana mkuu.....umejuaje kama ninasoma?
Ndio sasa ni tajiri namba moja mzee wa kazi.Huyu ni mzungu mzaliwa wa Africa kusini kwa sasa ana uraia wa Marekani ni kati ya ma 'genius' watu wenye akili nyingi waliopo duniani kwa sasa ni mtu ambaye anataka kubadilisha kabisa baadhi ya mambo hapa duniani kutokana na ugunduzi wake, kwa mfano kutoka kutumia magari ya mafuta na kuanza kutumia magari yanayotumia umeme na nishati ya jua hii ni pamoja na magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva, ana 'project' nyingine kubwa ya kupeleka binadamu kuishi kwenye sayari ya Mars. Ana project nyingine ya 'HYPERLOOP' hii ni teknolojia ya treni yenye kasi zaidi na salama ambayo itakuwa inatumia mwendo kasi wa kilomita 1200 kwa saa, treni hii itakuwa inapita ndani ya 'tunnel' ambalo halina hewa 'vacuum' na kuifanya ikimbie zaidi kwa kutumia umeme kidogo sana. Project nyingine kubwa anategemea kurusha 'satellite' 4425 kwa ajili ya mawasiliano ya simu na 'internet' na atafanya mawasiliano yapatikane kokote ulipo duniani kwa gharama nafuu zaidi kuliko sasa. Hizo ndizo baadhi ya project zake chache na ndiye anayetegemewa kuja kuwa tajiri namba moja duniani siku zijazo.
Bila shaka hujakosea.sasa hv tutaambiwa ana asili ya israel ni myahudi,maana tushaaminishwa wenye akili wote ni wao.