kuna muda ni gesi ikizidi unaweza kuumwa magonjwa ukahisi una tatizo kubwa mno kuna kipindi nilikosa nguvu kwenye joints,mapigo ya moyo kuwa kasi sana na kuchoka mno nikakutana na dokta akanueleza kuwa gesi ikizidi mwilini huweza kua na madhara makubwa tofauti na tunavyowaza pengine gesi imezidi mwilini.