Huyu Dr. Slaa wa CCM yu wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Dr. Slaa wa CCM yu wapi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, May 21, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha Nasikia CCM wanataka kuwafanya
  Wananchi wa Karatu ni Vilaza sana kiasi cha
  Kuwaletea Mtu anayeitwa Dr. Wilberd Slaa ili eti
  wananchi wachanganyikiwe He he he Inabidi
  wananchi wa Karatu waiadhibu CCM kwa
  kuwadharau Kiasi cha kuwaona wao hawawezi
  Kutofautisha kati ya Dr. Wilbroad Slaa ( Mtetezi
  wa Wanyonge) na Dr. Wilberd Slaa
  Reply Report Post

  Huyu jamaa alikuwa Boss mradi mmoja wa kifisadi unafadhiliwa na hela toka JAPAN Food Aid Counterpart kama muchumi.

  Mradi huu ni jointventure kati ya wizara ya Fedha na Kilimo mfadhili wakiwa Japan umekuwa kuvulili cha ufisadi cha mabosi wa Kilimo na Wizara ya Fedha ukienda na proposal yako ya uchimbaji wa bwawa la umwagiliaji unaulizwa untataka ngapi na sisi utatupa ngapi unalamba dili.

  Huyu jamaa alipiga sana dili hizo akapata hela ya kugombea ubunge mara ya mwisho nilisikia baada ya kuukosa ubunge akaomba kurudi kwenye position yake pale FOOD AID kama coordnator kwani alifulia sana.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hueleweki.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Niliposikia ugonjwa wa degedege ni hatari sana sikuelewa lkini sasa kwa hili degedege linalowakuta ccm ni balaa tana limewapanda bongoni wampeleke hata kikwete huko karatu wataangukia pua tu
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mgombea ubunge jimbo la Karatu kwa tiketi ya CCM 2010 alikuwa anaitwa Dr. Wilberd Slaa Lorry.
  Umeelewa?
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndio umefunguliwa kutoka gerezani Keko nini? Haya mambo si ni tangu kipindi cha uchaguzi 2010?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nahisi wewe tu ndo hujamuelewa Ribosome
   
 7. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kunajambo nalifanyia kazi.
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ni kweli si wote wanaweza kuelewa kwa wakati mmoja lakini naamini mpaka mwisho wa uzi huu utaelewa.
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  hivoo....kumbe
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo tunasoma historia?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  unaulizwa yuko wapi?
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eeeeh,kama hii ya kwamba ccm ilizaliwa mwaka1977 na kufa 2015
   
Loading...