Huyu Dogo Vepee?

Hilo toto litakuwa linavuta fegi.
 
Mbona za mama ake ndio nzuri, saa sita
 
Picha inatuelekeza kufurahi.Ukiingalia sana inatuambia binadamu ni "self - centered" tangu anazaliwa. Mambo matamu na mazuri yooote anataka yeye! Ajabu!
 
Na nyinyi kina mama mnamatatizo sasa umeyatoa yote ya nini wakati linalonyonywa ni moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…