Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Ungekuwa unapambana mkuu usingekuja kuulizia wanaume wenzio wanafanya nini mjini. Yaani huna tofauti na Mange KimambiAcha ujinga nan kakuambia sipambani
Mjini Ni akili tu gpa peleka kigoma
Ungekuwa unapambana mkuu usingekuja kuulizia wanaume wenzio wanafanya nini mjini. Yaani huna tofauti na Mange KimambiAcha ujinga nan kakuambia sipambani
Mjini Ni akili tu gpa peleka kigoma
cc King Kong IIINimepita mahali nikaona mapicha picha ya kijana mwenzetu dj yule wa kupiga miluzi jina limenitoka amepost picha ya ghorofa lake pmj na gari kadhaa hapo nnje yenye thamani kubwa ya dola za kimarekanj zipatazo dollars $700,000 Hivi.
Sasa Kam kawaida yangu mzee wa kohoji hoji nauliza Ni udj tu au kuna mengine nnje ya pazia.
Mbona mm mwaka 2002 had 2020 nilikuwa dj na sijapata mawe ya maana zaidi ya misozi na mitungi tu kwenye mahaurusi na kuchukuwa piss Kali ila pesa hakn inakuwaje dogo huyu kunipita parefu?
Hilo nimeliona toka mwaka 2021kuna namna hii nchi haiko sawa
Kwa kweli MkuuHukunaga Siri duniani
Tofauti ipo mm Nina mboo mangea Ana toboUngekuwa unapambana mkuu usingekuja kuulizia wanaume wenzio wanafanya nini mjini. Yaani huna tofauti na Mange Kimambi
Nauza ila sipati wayejaAnauza nini powder? Km ni rahisi hivyo na wewe uza
Straight to ignore list.Tofauti ipo mm Nina mboo mangea Ana tobo
Vijan fanyeninkaaz za halali
Wape wadogo zako hzo link Wenda watakupa pesaKuna mwarabu mmoja anagawa hizi mali. Nikupe link
Maamae dogo Jozeeee JF JF person of the year 2017.Don't hate, be inspired
Tuwe na wivu wa maendeleo
RubbishUngekuwa unapambana mkuu usingekuja kuulizia wanaume wenzio wanafanya nini mjini. Yaani huna tofauti na Mange Kimambi
RubbishStraight to ignore list.
Wanafanya sana hayaKwa hyo Wenda kaenda kwa mboye akajipiga picha kweny jengo la watu
Mkuu si nadhani ulimweka kwenye ignore list ??Ungekuwa unapambana mkuu usingekuja kuulizia wanaume wenzio wanafanya nini mjini. Yaani huna tofauti na Mange Kimambi
Kweli kabisaKweli au uzushi kwa maan hyo Ni tapeli
Mpumbavu sna kwa hyo Hana tofauti na maulidi kitengeKweli kabisa
Sio tapeli ila ni mwizi wa wake za wenyewe.