Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,412
15,995
Nimepita mahali nikaona mapicha picha ya kijana mwenzetu dj yule wa kupiga miluzi jina limenitoka amepost picha ya ghorofa lake pmj na gari kadhaa hapo nnje yenye thamani kubwa ya dola za kimarekanj zipatazo dollars $700,000 Hivi.

Sasa Kam kawaida yangu mzee wa kohoji hoji nauliza Ni udj tu au kuna mengine nnje ya pazia.

Mbona mm mwaka 2002 had 2020 nilikuwa dj na sijapata mawe ya maana zaidi ya misozi na mitungi tu kwenye mahaurusi na kuchukuwa piss Kali ila pesa hakn inakuwaje dogo huyu kunipita parefu?

IMG_20240405_113655.jpg
 
Nimepita mahali nikaona mapicha picha ya kijana mwenzetu dj yule wa kupiga miluzi jina limenitoka amepost picha ya ghorofa lake pmj na gari kadhaa hapo nnje yenye thamani kubwa ya dola za kimarekanj zipatazo dollars $700,000 Hivi

Sasa Kam kawaida yangu mzee wa kohoji hoji nauliza Ni udj tu au kuna mengine nnje ya pazia

Mbona mm mwaka 2002 had 2020 nilikuwa dj na sijapata mawe ya maana zaidi ya misozi na mitungi tu kwenye mahaurusi na kuchukuwa piss Kali ila pesa hakn inakuwaje dogo huyu kunipita parefu ?
View attachment 2954376View attachment 2954375
Huyu mshkaji kamuiba wifi angu.
 
Back
Top Bottom