Huyu dingi noma

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
[h=6]Mrembo kapokea simu namba ngeni, sikia maongezi.

Simu: Hello mtoto mzuri, una boifrendi?
Mrembo: Ndiyo, ninaye! Kwani we nani?
Simu (sauti ikabadilika): Mimi babako, kumbe una boifrendi, ukirudi utanitambua. Namaliza hila zangu kukusomesha, umekalia mapenzi tena hata miaka 18 hujafikisha!

Simu ikakata. Ding! Akiwa na mawazo, simu ikaita tena, namba mpya nyingine.

Simu: Hello, una boifrendi?
Mrembo: Hapana, sina!
Simu: Vipi mpenzi, ina maana umeamua kunisaliti? Au kwa sababu leo nina mafua na sauti yangu imeharibika? Simu yangu iko chaji, hii ya mshikaji dear wangu.

Mrembo: Jamani, pole bebi. Nilijua baba. Nakupenda mpenzi wangu.
Simu (sauti ikabadilika): Mimi babako, nilitaka kuhakikisha tu kama ni kweli una boifrendi, leo utanikoma!
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom