Huyu demu wa kishua nimempata kimazali mazali tyuu

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
habari wana Jf

Ilikua tarehe 25 january nilikua naenda masasi kumsalimia mama yangu mzazi saa 12 na nusu ndani ya maning nice tayari kwa safari ya masasi kwenye siti yangu nilikaa na mtoto mmja hivi mzuri sana .safri ikaanza ya kuelekea masasi mtoto kaweka earphone masikioni anasikiliza mziki huku me kidume namlia taiming kumuanza tukafika mbele ya rufiji kidogo nikamuona demu anakunja uso huku anabonyeza cm yake. baada ya kuona imemshindaa akaniomba nimsaidie kuangalia cm yake coz kila app ya facebook na instagram akifungua inamuambia unfortunatelly facebook not respond na insta hvo hvo nikaipokea cm yake nikamrekebishiaa kumbe tatizo ilikua ni memory yake ya cm ilkua iko very low so nkafuta baadhi ya app ambzo kwke hazina umuhimu ngoma ikakubali. Hapo ndo tukaanza story . A kanambia yeye anaenda masasi kumsalimia dada yake ambaye alijfungua mwaka jana mwezi dec me nukamuambia naenda kumaslimia mama yangu mzazi tukapigaa story weee mwisho wa sku tukabadilidhana namba ya cm .9:45 ndni ya masasi tukaagana kila mtu akenda kivyake baada ya siku mbili akanipgia cm uko wapi nikamwambia niko home akanambia niende kwao nikamsalimie dada yke mtoto na shem wake hapo ata kumtongoza sijamtongoza nikamuambia poa ila skwenda nikampga kiswahili mpka akaelewaa . kuna siku nikamfungukia nkamueleza hisia zangu na blah blah nyingi mtoto akanielewa. me nilikaa one week nikarudi dar yeye nikamucha .yeye alikaa.Two weeks baaad ya hapo akaja bongo . akanipigia cm akanambia niende kwao nikamuambiaa noooo siwezi kuja kweni labda tukutane mahali me na wewe akakubali .daaaa mtoto kaja na mark x asyee daah nika data kwanza mapigo yake duu usipme tukampiga storry weew tukaenda mlimani city kaninunulia saa kali amercan boot na shati pamoja na kadeti kalii sana baada ya hapo tukaendakaenda kununua ice cream tukatoka hapo tukaenda hotelini kufanya yetu .Baada ya kumaliza mtoto akanipa risala ndefuu kuhusu mahusiano yetu akasema yeye akipenda anapenda kweli . nikamuambia ata mm nakupenda sana . Now tuko kwenye mapenzi moto moto ukimpata mtu anaekupenda ni raha sana.

Mungu alinisilika kilio changu baada ya kukuta mesaage kwenye cm ya demu wangu duh wewe kweli noma unajua na yeye akamjibu je na show ya pili utaiweza?? kumbe yule alikua ni mchepuko wake
 
uko darasa la ngapi??
 
Kweli utoto ni shida, ndo maana wanasema simu kwa mwanafunzi toka Darasa la kwanza mpaka form six hazifai. Zinawapoteza. Hebu mtoa mada nini FUNDISHO la ujumbe wako kwa watu? Uliyo yaandika yanamantiki yoyote? Binti kakuelewa kakukirimu sasa kuja kumuanika humu ndo ujanja? Nooo achene utoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom