Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
Ha ha ha atakula ujana, mwache adumishe urafiki....hahahahahahahh, umenichekesha kweli. Sasa akinunua simu kwa hilo boom atakula nini mtoto wa watu
Shemeji yangu white masai yupo kajaa teleee
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
Acha wehu ww, yaani grp member akuombe smartphone!! Kvipi? Ww ni baba yake? Sema demu wako, na huna hela BASI. Kama kakupiga kibuti-kaa tulia tafta saizi yako (Chapti vs kongoro). Ha ha ha haOkey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
anh ki2 cha 350,000 😕.Mchoree chini hyo smartphne..
Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz
Shemeji yangu white masai yupo kajaa teleee
Na mimi nataka smartphone.
nikupe phillips q243 new model mamii?
Ha ha ha atakula ujana, mwache adumishe urafiki....
sielewi mm