Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz
Alikuomba nini sasa? Kwasababu hapo ndipo watu wangeanza kupima uzito Wa mada.
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
mkuu unataka kulala njaa miezi miwili ama una pesa ya ziada?Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
Kwani boom halijatoka si umnunulie tu yaishe, urafiki wenu urudi deeep kama zamani?
Kwani boom halijatoka si umnunulie tu yaishe, urafiki wenu urudi deeep kama zamani?