bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Ana mshikaji, so anakuhadaaMshika pembe tena? Maana yake nin
Ana mshikaji, so anakuhadaaMshika pembe tena? Maana yake nin
Pitia kuna nyuzi nyingi tu humu kuhusu jinsi ya kutongoza au jinsi ya kumuendea binti yeyote yule Dunia... Ni ujasiri tu, nakushauri upekue humu!
That's why I came hereUsipende kutongoza mwanamke ukiwa Serious ... Wanaotongoza kwa neno nakupenda nakupenda huwa wanazungushwaaaaaa, mwisho wanaambulia patupu.
Kama upo interested sana ,tumia Flirts , make it simple ..utajikuta Umemla bila hata kumwambia nakupenda.

hizi kazi za mkoloni kabisa au tongoza ya kihindi ukariri ratiba ya mtu huyu anafail kizunguka sanaUmri wako tafadhari kama hauto jali!
Anyway huenda hujamsoma vizuri huyo binti kabla hujamtongoza, kama umemuelewa basi huenda njia unayotumia kumtongoza haimshawishi ndio maana anakucheka tu.
Wanawake wanatongozwa sana karibu kila siku, hivyo kabla ya kumtongoza ulitakiwa ujipange ili umuendee kitofauti. Hawa viumbe wanapenda sana wanaume wanaojua jinsi gani ya kujitofautisha na wanaume wengine hasa kwenye suala la mapenzi!
Fahamu anapokuwa huru huwa anapenda kufanya nini, ikiwezekana fahamu ratiba yake kwa siku nzima... Tulia usiwe na wenge la kumtafuta kila saa atakuzoea mapema na mwishoe atakuchoka! Hakikisha unapopata muda wa kuwasiliana nae tumia lugha ya kuvutia ili awe na hamu ya kuwasiliana na wewe...
Yani ni somo refu lakini jaribu kwenda nae taratibu kama una malengo nae...
Kua na aman mkuu nitumie namba yake nikusaidie kumuuliza anchomaanishaHabari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.