Huyu demu simuelewi anamaanisha nini.

Huyu demu simuelewi anamaanisha nini.

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
794
Habari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
 
M naomba unipe namba zake nimuhoji kwanza halafu ndio nikushauri ch kufanya
 
Habari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
Kashaeleweka huyo mwite gheto ukiona karespond kuja maliza kazi kula mzigo
 
Umri wako tafadhari kama hauto jali!
Anyway huenda hujamsoma vizuri huyo binti kabla hujamtongoza, kama umemuelewa basi huenda njia unayotumia kumtongoza haimshawishi ndio maana anakucheka tu.
Wanawake wanatongozwa sana karibu kila siku, hivyo kabla ya kumtongoza ulitakiwa ujipange ili umuendee kitofauti. Hawa viumbe wanapenda sana wanaume wanaojua jinsi gani ya kujitofautisha na wanaume wengine hasa kwenye suala la mapenzi!
Fahamu anapokuwa huru huwa anapenda kufanya nini, ikiwezekana fahamu ratiba yake kwa siku nzima... Tulia usiwe na wenge la kumtafuta kila saa atakuzoea mapema na mwishoe atakuchoka! Hakikisha unapopata muda wa kuwasiliana nae tumia lugha ya kuvutia ili awe na hamu ya kuwasiliana na wewe...
Yani ni somo refu lakini jaribu kwenda nae taratibu kama una malengo nae...
 
Shukran mkuu am 26yrs
 
Nigga stage hiyo ilipofika ni kumkaribisha nyumbani.

Akifika muulize ataondoka lini coz unataka kununua mahitaji yatakayotosha siku atakazokaa.

Mpe taulo avae wakati anapika.

Mmege huku upishi ukiendelea.

Lala naye idadi ya siku alizotaja.

Full Guide of 'How to F...?' Is out. Pata nakala yako kwa shilingi 26,000/= Tu.
 
Acha utan wewe
We nipe namba ndio utajua natania ama niko seriously, halafu nakukumbusha tu siku hizi watu wazima hatutongozi kwa kusema nakupenda hayo wanayafanya watoto wadogo tu
 
Habari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
Anamaanisha kwamba wewe ni mshika pembe. Sasawa kijana
 
Kwenye huu ulimwengu wa pesa sidhani kama hii formula itawork.
Mademu wa siku hta umpige bakola(fimbo) sabini lakini akiona una burungutu la pesa lazima ajilete mwenyewe
Umri wako tafadhari kama hauto jali!
Anyway huenda hujamsoma vizuri huyo binti kabla hujamtongoza, kama umemuelewa basi huenda njia unayotumia kumtongoza haimshawishi ndio maana anakucheka tu.
Wanawake wanatongozwa sana karibu kila siku, hivyo kabla ya kumtongoza ulitakiwa ujipange ili umuendee kitofauti. Hawa viumbe wanapenda sana wanaume wanaojua jinsi gani ya kujitofautisha na wanaume wengine hasa kwenye suala la mapenzi!
Fahamu anapokuwa huru huwa anapenda kufanya nini, ikiwezekana fahamu ratiba yake kwa siku nzima... Tulia usiwe na wenge la kumtafuta kila saa atakuzoea mapema na mwishoe atakuchoka! Hakikisha unapopata muda wa kuwasiliana nae tumia lugha ya kuvutia ili awe na hamu ya kuwasiliana na wewe...
Yani ni somo refu lakini jaribu kwenda nae taratibu kama una malengo nae...
 
Atakuwa Mnyalu huyo, huwa hawasemi sawa au ndio. Kilichobaki muite UMWANGUSE TU!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom