Huyu demu kweli Ananipenda?

Huyu demu kweli Ananipenda?

Yani we umeigusa mind yangu.
Nimfanyaje?

Sasa ww upo na mwanafunzi amekwambia ana mitihani kinachokufanya umsumbue nini?

hata kama amekudanganya ila kakupa strong reason kama hiyo mpe nafasi then endelea kuchunguza taratibu kinachoendelea siku zote uongo haudumu
 
Acha kuumiza kichwa atakuua huyo. Piga chini anawanaume sio mmoja wako wengi. Kuna mmoja yuko Dom anasifa zote ulizozitaja hadi matendo...ila mi nilijiongeza mapeeeeema
 
Upuuzi mtupu. Kwa hiyo ndio umeamua kuanzisha mada kisa Jana hujakisiwa...
 
soooo childish hebu kuwa na logic mtu yuko discussion unamwambia kiss me kama sio kauzu hawezi! wewe ndo wale mnaoomba mtumiwe picha ya papuchi akiwa amechuchumaa akikataa eti mnagombana pumbavu kabisa acha ujinga wasiliana na gf wako
 
Nakubaliana nawewe kwa asilimia mia moja.

Yaani inawezekana kabisa mwenzake yuko serious kwenye discussion eti yeye baby nakupenda, kha!

Shule kwanza mengine baadae.

Hajui anaweza kupewa mabusu huku kuna mwanaume mwenzake anakula mzigo live!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom