Huyu demu kazidi mizinga::::

Nmegundua kwamba ulipanda Upendo kuja Dar.

Pia nmegundua kuwa uliacha kufanya mambo yanayokuhusu ukawa unafuatilia dada segito anafanya nini.

Idea imetulia lakini

masikio hayana pazia mlandege!!
 
Huoni tatizo hapo kwan?!
Takriban wanaume saba wamepigwa mzinga, wakatoa jumla ya shilingi elfu sita!
Hivyo kwa wastan kila mmoja katoa kwa makadirio ya juu shilingi 857/=

Hadi kifikia hapo nakua bado sijaona kwa nini umeleta huu uzi!!
 
Kwani hujajua kwamba nyie ni atm zetu??!!
 
Haba na haba hujaza kibaba.
 
Huoni tatizo hapo kwan?!
Takriban wanaume saba wamepigwa mzinga, wakatoa jumla ya shilingi elfu sita!
Hivyo kwa wastan kila mmoja katoa kwa makadirio ya juu shilingi 857/=

Hadi kifikia hapo nakua bado sijaona kwa nini umeleta huu uzi!!

nafikiri juhudi zake ndo zimeishia hapo kupata hyo buku sita,jamaa zake watakuwa wanamjua n wa mizinga!
 
atm kwa mmoja sawa lakin na ninyi mbona sio waaminifu??
Tangu lini uliona mtu ana-specialize atm? Leo unaweza ukadraw ya Ubungo, kesho ukadraw ya Manzese, kesho kutwa ya mwenge n.k.
 

kwa kweli sijawahi kufanya uchunguzi!

m nlifanya kauchunguz kidogo mfano changudoa anaishi uwanja wa fisi au mwananyamala,an geto lake men anaingia anapga anatembea,anaweza akapata wateja kma kumi hivi during daytime,ikifika usiku anaenda corner bar hko anaweza akapata wateja almost wa5.kwa hyo kwa siku ni kama 15.
 
Huoni tatizo hapo kwan?!
Takriban wanaume saba wamepigwa mzinga, wakatoa jumla ya shilingi elfu sita!
Hivyo kwa wastan kila mmoja katoa kwa makadirio ya juu shilingi 857/=

Hadi kifikia hapo nakua bado sijaona kwa nini umeleta huu uzi!!

calculation zako ndo zimefikia tamati hapo???
 
uache umbea
 
​duuuuh!!we nawe utakua mteja wao nahisi!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…