Wanaume saba kapata buku sita!!!
watu wenyewe wanaishi chini ya dolar moja kwa siku kumbe ahahaaaa dah nimecheka sana aisee...wengine laki si pesa etiiiiWanaume saba kapata buku sita!!!
watu wenyewe wanaishi chini ya dolar moja kwa siku kumbe ahahaaaa dah nimecheka sana aisee...wengine laki si pesa etiiii
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha
Wanaume saba kapata buku sita!!!
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha
Mbona kama fix? Ni mazungumzo gani yaliyokufanya kujua kuwa aliambulia buku sita tu?mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko vilipoanza............mchuchu huyo aliwapigia simu kama wanaume 7 hivi akiwapiga mizinga ya kwamba leo ndo anarudi na ana mizigo mingi sana atashindwa jinsi ya kuibeba so anaomba atumiwe hela.Cha kushangaza kwa mdada huyo ambaye alikuwa anaongea kwa sauti kubwa ni pale alivyokuwa anadanganyaa mwingine anamwambia ana mchele ndoo moja,mwingine ndoo tano,mwingine mpunga gunia,mara mpunga ndoo 2 nk kwa mujibu wa mazungumzo yake alifanikiwa kupata buku sita tu.ilibidi nifanye juu chini nione ana mizigo gani??????dah cha ajabu ni kibegi chake kidogo na mfuko aina ya Rambo.Nilichogundua huyu mdada anatufanya sisi wanaume ni kama kitega uchumi,,kina dada acheni hizo...........
ahahaaa...utamu nao unatakiwa upandishwe beiNdio shida ya biashara ya ngono. Yaani inflation rate haihusiki na ngono. Gesti inapanda bei ila mngonolewaji haongezewi pato. Hii biashara ingerasimishwa tu yaishe!