Ndugu wajumbe, mleta mada hajaelewa alichoambiwa au hamjamuelewa ninyi? Ujumbe uko hivi: "nimeambiwa napendwa na shem wangu". Ndivyo nilivyomwelewa...jibu lake ni hili, "nami nakupenda". Kumbukeni huyo shem hajasema wakangonoke, bali anampenda tu.
Amekuwa ni rafiki wa mdogo wangu wa kike, ni rika moja na dogo langu, sasa nashangaa juzi kati hapo kanirushia ki2 cha msg eti ananipenda kupita kiasi, nimeshindwa kum judge asee, she is cute ila mdogo wangu akija kusikia bro wake namchukua rafiki yake itakuaje hapo? Embu nishaurini hapo wajameni

kwani wewe unafilaje kwake???? hebu tupe feedback kwanza ndo nirudi kushauri!!
Jeezy...!!!!
Sasa ushauriwe nini?then u sound like a boy,too far to be a man to spell the word LOVE!
Mambo mengine mtu utie akili kuamua mwenyewe.
Okay lets say amekupenda,ok wewe je?au ndo tukushauri umpende?
Fine umekuwa nae af what next?kubanjuana ryt...
Ye yuko form ngapi?mimba ryt...
Okay,mdg wangu haya mambo sikukurupuka mnaweza vamiana then mnafika chumbani unakuja kuandika uzi huna cha kumwambia au ujui cha kufanya.
Jipange.