Huyu dada vipi huku beach?

Wangefanya exchange, wanawake wabongo waende kule,then wao waje huku,then wanaume wakibongo wawapokee,halikadhalika waisrael,ile chovya chovya ya vidume vya bongo ingepungua..teh
 
adam malima

hacena... wengine humu JF wanaiita ..."Mh Rage!"

rage.jpg
 
Duh ni walinzi au?
mdau mmoja kasema that's how it's around israel neighborhoods.eti kila mtu na chuma chake.mmh! sijui ni kweli au ni blah blah time baada ya akili kuchoka toka jukwaa la siasa.ngoja ni google kwanza........
 
Ulinzi muhimu regardless where you're

Ukizingatia historia yao katika uchumi-jamii wa dunia na biff lao la kudumu na neighbours wao wote; kweli suala la ULINZI WAMELIMUDU. Maana ni sehemu ya IMANI YA UTAIFA WAO!!!
 
Back
Top Bottom