Huyu dada simwelewi

Yuko single alikwambia au unauhakika gani,,kama alikwambia unahakika gani kama ni mkweli
 
Reactions: B49
Too late mkuu hayo ungeyaleta kabla, sasa ushakubaliwa nenda tu jibu utalipata hukohuko
 
Reactions: B49
acha utoto nini usichoelewa hapo ...
 
siku hizi waolewaji ni wengi lakini waoaji ni haba sana. Mi nadhani huyo demu kukwambia yuko single haimaanishi kwamba hana mtu hata wa kumchangamsha ila tu hajapata aliye tayari kumuona. Kwahiyo usiwaze ukamfikiria tofauti. Fuata ushauri uliopewa huko juu na uusikilize moyo wako kama umemridhia basi kila la kheri.
 
Reactions: B49
Acha uboya mkuu....mle tigo yake
 
hata sisi hatuelewi, kaulize ndugu zake
 
Reactions: B49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…