Huyu dada simuelewi kabisa

Ukiona huelewi.ujue uhusiki.

Acha kujipa ubize usokua na faida.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Kijana msomi wa chuo anakuja komba ushauri kwa jambo la namna hiyo. Akipewa ofisi kuna kazi hapo!?
 
Mkwawa alikuwa mjanja, nyie wajukuu zake ukilaza mmerithi kwa nani?
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kwako Dogo,maliza masomo yako kwanza.Ukimaliza utawaona warembo wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom