Huyu dada simuelewi kabisa

Huyu dada simuelewi kabisa

Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
achaaa upimbii wewe...vitu vingine haifai kuuliza kama mwanaume,mpeleke kanisani mkaombewe wote
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU USHAWAH KUANGLIA ILE MOVIE YA HIT AND RUN KAMA UJAICHEK KAITAFUTE UTAPATA MAJIB
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanaume wa Dar mna KWAMA wapi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachuo wa siku hizi ni job true true..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huna lolote we unamtaka huyo demu japo Naye anakuletea hivyo vitimbwi.. Ila ww pia bwege na mwoga wa kufunguka.. Binafsi sina woga wa kumwogopa mwanamke zaidi ya mama wangu tyu.. Hata First Lady ya Trump me nazamia tyu lolote lile...

Sasa ww demu anakuonesha njia na kukusafishia pia then unakuja kulialia hapa...!!!!
Pumbafu sana Alaah..!!
 
Kwahyo umekasirika mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kweli unasoma chuo au umejisaaha form IV unaiita chuo? Sasa hapo huelewi nini? dogo kakojoe ulale
 
Samahani mkuu hivi we ni mwaka wa mwisho eeenh??

Sasaaaaaa huyo mdada muangalie kwanza nini lengo lake iwapo we ni finalist,

Wengi wa madada wa chuo hua wanajitahidi kutafuta epepo wa kujishikilizia kipindi cha mwisho kutokana na mpindo wa maisha ya kitaa ili akirudi kitaa awe na mtu anae muelewa kwa kiasi flani, in fact simbaya kufanya selections, ila pia nawe unayo postition na haja ya kufanya Evaluation ili kujua ni qualities zipi unazihitaji, na je upo tayari kuoa baada ya chuo??, vipi uchumiwako baada ya chuo!!, je una pakujishikiza ili kuingiza chochote mfukoni?? Na mengine mengi unatakiwa kiyafikiria kama mwanaume wa shuko mwenye sharp and working upstairs.

Hope nimejitahidi kukupa kitu flani ambacho unakitambua japo hujakitilia maanani√√

Lakini pia nyongeza ya hapo kama wewe ni continuous nakushauri ujipime mwenyewe na ufanyie kazi kitu ambacho moyowako na akili inakusukuma ukipende.

"Zakuambiwa ongezea na zako"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom