Huyu dada noma...!!!!

Huyu dada noma...!!!!

Mtu mwenye akili yake timamu hawezi kukupakia kwenye gari yake kwa ajili ya malipo ya buku;
vinginevyo huyo dada naye hamnazo.

Stori ya uongo hii. Yaani mdada yuko alome anasanya? Buku vs privacy na risk ya kunukiwa jasho na viatu!
Hujanipata!
 
Mi nimekurupuka kitandani kasi kwa mvuto wa bandiko "mdada noma" nikazani anazo mbiri aisey! Kumbe uripewa rifti arooh!
 
hata kama hamnazo asingethubutu aiseee!
Hukawii kupakia mtu akashuka na handbag yako ama akupurure dhahabu zako bureee. Anajisifia tu aisee:A S 27:
Mtu mwenye akili yake timamu hawezi kukupakia kwenye gari yake kwa ajili ya malipo ya buku;
vinginevyo huyo dada naye hamnazo.
 
hata kama hamnazo asingethubutu aiseee!
Hukawii kupakia mtu akashuka na handbag yako ama akupurure dhahabu zako bureee. Anajisifia tu aisee:A S 27:

duuh mkuu sijaona relevance ya concept yako ya mimi kujisifia, like how? anyways was just a humour, ila nimeshangaa ulivoreact
 
Back
Top Bottom