Huyu dada nimueleweje?

Hapana boss Kuna mpangaji wetu ilisha wahi kumyokea hii.nae tulijua kibamia.kumbe sio dunia imebadilika Sana mzee Wala usife moyo.

Huyo mwanamke alikuja kwa jamaa kumbe shida ilikua ni mtoto so mwanamke aliona mbegu za jamaa ni nzuri vitoto vitatoka vizuri na vitafanania na mme wake Alie muoa. Tulikuja kujua hilo baadae Sana alipo kuja kumtafuta jamaa ampe mimba nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😊😊mkuu angalau umenitia moyo
 
Duuh....! Watu mna roho ngumu elfu 5 demu miezi mitatu kwelii?. Hata kama ni ubahiri si kwa kiwango hicho. Halafu baadae muanze kuwalaumu mademu kweli?
 
Duuh....! Watu mna roho ngumu elfu 5 demu miezi mitatu kwelii?. Hata kama ni ubahiri si kwa kiwango hicho. Halafu baadae muanze kuwalaumu mademu kweli?
Mkuu wewe ungempa ngapi?
 
Mkuu nenda kapime
 
Alitaka laki 2
 
Mimi ni bahili ila wewe umenizidi.

Buku tano?

Bora usingempa kabisa.
 
Hajaku unbreak mpaka mwaka huu utakua kujamfikisha kwenye kona
 
Yaani umkwangue mtoto wa watu halafu unamwachia 5,000/,tu??.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…