Huyu dada nimueleweje?

Kama kusoma mchezo umeshindwa, hata picha nayo umeshindwa kuielewa??
 
Hiyo elfu tano ndo imekuponza
[emoji23][emoji23][emoji23]elewa kuwa hataki mawasiliano tena na wewe .
Usiku kucha elfu 5??? Kweli???[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
5000.?[emoji849][emoji848]

Sent from my Lenovo L38012 using JamiiForums mobile app
Naona mnavyo isakama buku dasi utadhani sio prsa halali ya Tz....[emoji23][emoji23]
Minahisi kijana aliunderpefom kwanye game....[emoji1787][emoji1787]
 
Shoo ilikuwa vizur ata yeye alikiri hivyoo
 
La kiume, Tena la kihindi
Kaka yangu anadate na msichana mchanganyiko wa muhindi na mnyakyusa. Anaitwa Ranjan.

Upo sahihi ni la kihindi ila ni la kike.
 
Miezi mitatu ni siku 90,jana ndio ukataka kumpaTsh 5,000...ukigawanya hiyo kwa mda wote uliokuwa nao,wastani kila siku ulikuwa unampa Tsh 55.56 hata siku ulizomla....conclusion,We ni nyau tena umbwa kabisa 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu Ni Nini kuniita Mimi nyau?kosa langu Ni Nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…