Huyu dada ni muuaji

Hiyo ndo shida ya kuoa wenye uke lakini sio wanawake

Pumbavu
 
....Huyo Dada season za kikorea zinamuahiribu.
#Huyo jamaa akighairi kweli Basi huyo bibie ataitafuta ndoa mbaka kwa udi na haitoonekana,watakuwepo wapigaji tu.
Kwa hiyo kwenye season za kikorea ndio huwa kuna harusi za kifahari?
 
Tuachane na huyo mwanamke malaya maana hata ktk kitabu cha yoshua bin sira imeandikwa mwanamke mpumbavu ataiharibu ndoa kwa mikono yake LEO NI SIKU YA WANANCHI[emoji373][emoji375][emoji374][emoji460][emoji576]
 
Nyie mwenzenu kpt muujiza wa kuolewa hlf mnataka kumuharibia shughuli????joke

By the way ndo wanawake walivyo asimilia kubwa wana fantasy zao kichwani za jinsi harusi yao itakavyokuwa.
Cha ajabu hapo hamna kabisa sema cha kushangaza ni ujasiri ulipotiliza wa huyo mwanamke na hilo ndo litakuwa tatizo kwenye ndoa wala sio hayo mahitaji yake.


Mwanamke wa kawaida angekuwa na hayo yote kama yalivyo sema angejistukia kuyasimamia kwa kiwango hiko kwa either kuheshimu wana kamati na wazazi au kuogopa kuwaingiza watu gharama huyo mwanamke wa kawaida ila mwanamke huyo ameweza kuyasimamia bila kujali lolote sababu kubwa anaolewa na zezeta au mwanaume asiye na msimamo.


Hapo kwenye ndoa mwanaume atakuwa mwanamke na mwanamke atakuwa mwanaume hiyo ni clear sign..
 
Mistari mitatu mwishoni umemaliza
 
Kwani huyo binti mwanaume alitafutiwa au ninachojua mpaka mnafikia hatua ya ndoa ni kwamba kila mtu anajua hali ya mwenzie labda kama alitafutiwa halafu akaambiwa jamaa ako na mapesa mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…