Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,747
Ni tatizo kwa kweli. Hata mimi niliogopa usikute kazi yake ni kujiuza na hiyo kuuza mboga ni geresha tu.Siyo wote ni huyo tu
Japo kama ni hvyo basi kweli maisha magumu hadi mabinti tuna kua rahisi kiasi hicho
Ah mimi kwa kweli demu nisiyemfaham wala kumzoea naogopa sana kumfanyia dy/dxYaani we huna swaga gani?? Inamaana wewe n madimpozi?
Bora ulipona kaka....maana nawaza siku nzima anauza mara ngap.na joto la dar uwiiiiNi tatizo kwa kweli. Hata mimi niliogopa usikute kazi yake ni kujiuza na hiyo kuuza mboga ni geresha tu.
Hahaha mkuu Boss alikuwa yupo vizur tu sema alinionesha signal ya kutokuogopa ndo mana na mimi nikaingia woga maana nlishasema huyu anaweza kuwa changudoa na hiyo ya kuuza mboga ni geresha.Nahisi alikuwa mchafu sana
kama angekuwa anafikia matamanio yako
ungenunua vyoote kabisa
na kesho ungemsubiri apite tena
Teh teh..Kuna wadada biashara zao uwa zinaisha mapema sana...Nahisi alikuwa mchafu sana
kama angekuwa anafikia matamanio yako
ungenunua vyoote kabisa
na kesho ungemsubiri apite tena
Teh teh..Kuna wadada biashara zao uwa zinaisha mapema sana...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nahisi alikuwa mchafu sana
kama angekuwa anafikia matamanio yako
ungenunua vyoote kabisa
na kesho ungemsubiri apite tena
Halafu nimekumiss sana jamani hivi upogo???Nahisi alikuwa mchafu sana
kama angekuwa anafikia matamanio yako
ungenunua vyoote kabisa
na kesho ungemsubiri apite tena
Halafu nimekumiss sana jamani hivi upogo???
14 had a brain that can throw flames.. Hahaha.. So strange anyway.
Salama kabisa hope uko poamimi zaidi......za miaka?
Salama kabisa hope uko poa