mr promise
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 142
- 135
wewe ndo ueleweki
Mh yaleyale..yaani unanyonga kwanza ndo unachinja. Rudisha mtoto kwao na uache uzinziHabari za saa hii wananzengo...?
Kiufupi ni kwamba, miaka miwili nyuma kuna msichana mgeni nilimuona mtaani kwangu.Sasa baada ya kupeleleza nikaambiwa amekuja kumtembelea dada yake hapo mtaani, kwasababu aliyavuta macho yangu moyo nao ukataka kutoka kumfuata lakini bahati mbaya ukakwama kwenye kifua hivyo ikabidi urudi tu ndani ukaendelee kuugulia maumivu polepole.
Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.Nilitokea kumpenda kiukweli...nikaanza kumchombeza taratibu huku nikizingatia vigezo na masharti nisije kuharibu.
Kwa bahati mbaya kabla hatujaelewana vizuri akawa amerudi kwao Babati.Sasa tukaanza kuwasiliana akiwa mbali, na bahati nzuri dada yake alikuwa anajua kinachoendelea hivyo nae akawa anasaidia kumchombeza mdogo wake anikubali arudi huku bongo.
Baadae nikakata tamaa kabisa manake yule msichana alikuwa akiniambia nakuja tarehe fulani....lakini tarehe ikifika haji aliniahidi zaidi ya mara nane kwamba anakuja ila hakufanya hivyo.
Ndipo siku moja nikiwa sina hili wala lile huku nikiwa nimekata mawasiliano nae kabisa, siku hiyo dada mtu alikuja ofisini kwangu na kuniambia kwamba yule binti atakuja kusherehekea sikukuu ya xmass huku hivyo nikae tayari.
Na kweli baada ya siku kama tatu mbele yule msichana akaja....alipofika tu akanitafuta tukaonana na mambo yakaanzia hapo na yakaendelea na mpaka sasa bado yanaendelea.
Kiufupi nimeshamtolea barua bado mahari, sasa dada mtu alimwambia aje tu kwangu aishi wakati anasubiria mahari...kweli binti akaja kwangu tukaanza kuishi huku dada mtu akiwa anakuja siku mojamoja kututembelea hapo nyumbani, cha ajabu sasa huyo dada mtu kabadilika kawa kama anayeona wivu vile mi kuwa na mdogo wake ,mara anamwambia hivyo vihela vya mmeo vitaisha tu we jifanye kuringa kwanza rudi nyumbani mpaka utolewe mahari... bint akaja akanieleza nikamwambia ok! mwambie dada mahari nitaleta baada ya wiki mbili....na umuombe uendelee kukaa huku siku mahari ikikaribia unarudi nyumbani.
Alivyomueleza hivyo akakubali na akamruhusu kuja kukaa nami, cha kushangaza baada ya siku mbili kabadilika tena amempigia simu mpaka baba akamueleza kuwa mdogo wake hayupo pale nyumbani kwake na hajui alipo na kaka yao akamwambie vivyo hivyo wakati anajua yupo kwangu...baba kapiga cm kamwambia afungashe vilago arudi nyumbani....sasa nashindwa kumuelewa huyu dada mtu anataka nini!!!
Siku hizi 50/50 mkuu, mbona binti anakaa na jamaa bure bure tu. Suala la mahari siku hizi ni hiyari mana wanaume wa kuoa wamekua adimu sana.Hii
Unaona raha kukaa na mtoto wa watu bure bure tu
Hivi makao makuu ya Afrika Mashariki yako wapi.Habari za saa hii wananzengo...?
Kiufupi ni kwamba, miaka miwili nyuma kuna msichana mgeni nilimuona mtaani kwangu.Sasa baada ya kupeleleza nikaambiwa amekuja kumtembelea dada yake hapo mtaani, kwasababu aliyavuta macho yangu moyo nao ukataka kutoka kumfuata lakini bahati mbaya ukakwama kwenye kifua hivyo ikabidi urudi tu ndani ukaendelee kuugulia maumivu polepole.
Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.Nilitokea kumpenda kiukweli...nikaanza kumchombeza taratibu huku nikizingatia vigezo na masharti nisije kuharibu.
Kwa bahati mbaya kabla hatujaelewana vizuri akawa amerudi kwao Babati.Sasa tukaanza kuwasiliana akiwa mbali, na bahati nzuri dada yake alikuwa anajua kinachoendelea hivyo nae akawa anasaidia kumchombeza mdogo wake anikubali arudi huku bongo.
Baadae nikakata tamaa kabisa manake yule msichana alikuwa akiniambia nakuja tarehe fulani....lakini tarehe ikifika haji aliniahidi zaidi ya mara nane kwamba anakuja ila hakufanya hivyo.
Ndipo siku moja nikiwa sina hili wala lile huku nikiwa nimekata mawasiliano nae kabisa, siku hiyo dada mtu alikuja ofisini kwangu na kuniambia kwamba yule binti atakuja kusherehekea sikukuu ya xmass huku hivyo nikae tayari.
Na kweli baada ya siku kama tatu mbele yule msichana akaja....alipofika tu akanitafuta tukaonana na mambo yakaanzia hapo na yakaendelea na mpaka sasa bado yanaendelea.
Kiufupi nimeshamtolea barua bado mahari, sasa dada mtu alimwambia aje tu kwangu aishi wakati anasubiria mahari...kweli binti akaja kwangu tukaanza kuishi huku dada mtu akiwa anakuja siku mojamoja kututembelea hapo nyumbani, cha ajabu sasa huyo dada mtu kabadilika kawa kama anayeona wivu vile mi kuwa na mdogo wake ,mara anamwambia hivyo vihela vya mmeo vitaisha tu we jifanye kuringa kwanza rudi nyumbani mpaka utolewe mahari... bint akaja akanieleza nikamwambia ok! mwambie dada mahari nitaleta baada ya wiki mbili....na umuombe uendelee kukaa huku siku mahari ikikaribia unarudi nyumbani.
Alivyomueleza hivyo akakubali na akamruhusu kuja kukaa nami, cha kushangaza baada ya siku mbili kabadilika tena amempigia simu mpaka baba akamueleza kuwa mdogo wake hayupo pale nyumbani kwake na hajui alipo na kaka yao akamwambie vivyo hivyo wakati anajua yupo kwangu...baba kapiga cm kamwambia afungashe vilago arudi nyumbani....sasa nashindwa kumuelewa huyu dada mtu anataka nini!!!
Sasa kwann huyo mchumba wako asiwajulishe wazazi wake kuwa HAJAPOTEA bali yupo kwako na next wk wajiandae kupokea mshiko????Walikuwepo wawakilishi wa wazazi wake, yaani dada mtu mama yake mdogo na watu wengine kwenye familia yao.Kifupi ukoo wote unanitambua mama yake nishainana nae kabisa na alikuja kwa ajili ya kuniona tu.
Kijijini kwenuHivi makao makuu ya Afrika Mashariki yako wapi.
........
Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.
Hahahahah.. Usigeneralize mkuu anaweza akawa mzuri kwako kwa wengine wa kawaida. Watu wengine tuna taste tofauti kabisa. Kama sijaona taste yangu hata salamu hapati mbali na kujeuka. No offence........
Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.
Hiyo inaeleweka na ukoo mzima unajua kwamba mahari inapelekwa wiki ijayo.Sasa kwann huyo mchumba wako asiwajulishe wazazi wake kuwa HAJAPOTEA bali yupo kwako na next wk wajiandae kupokea mshiko????
Kumbuka dada mtu ndo aliyemruhusu kuja kuishi kwangu.Mmh...ukipeleka hiyo mahari faini itakuhusu
Hahahahah!! we lazima utakuwa mzee wa chura.Hahahahah.. Usigeneralize mkuu anaweza akawa mzuri kwako kwa wengine wa kawaida. Watu wengine tuna taste tofauti kabisa. Kama sijaona taste yangu hata salamu hapati mbali na kujeuka. No offence
Dada mtu ndo aliyemruhusu aje aishi kwangu, halafu sasa hivi anageuka tena.Ndo kinachonishangaza hicho.Anataka umuoe ndugu yake. Barua si guarantee ya ndoa. Mkuu kama mnaishi wote tayari na unampenda kama unavyosema unachosubiri nini? Hela za party😵!!!
Dada mtu ana mamlaka ya kusema chochote kushinda wazazi...Kumbuka dada mtu ndo aliyemruhusu kuja kuishi kwangu.
Nimeshajitambulisha kitambo tu...sasa nikajitambulishe wapi tena!?Inaelekea unapenda vya bure sasa kwa nn usiende kujitambusha kwao kwa hiyo huku unahitaji msaada ili uendelee kugegeda bure
Sasa kwanini amwambie aje aishi kwangu halafu baadae ageuke tena?Dada mtu ana mamlaka ya kusema chochote kushinda wazazi...