Huwa nashindwa kuelewa aina hii ya utongozaji especially sredi ikianzishwa jukwaa tofauti na chit chat...
Mkuu si ulisema umejitoa. Unaniongezea wivu aisee!
Mkuu bahati mbaya natumia kamchina, nimeshindwa kuburudika. amu njoo uburudike uniletee na mie utamu kwa njia ya mnururisho! Teh!
Yaani hapo andika -200 points. Mikononi mwa amu inatakiwa ueleze umejipanga vipi. Sema kijana una maghorofa mangapi Kariakoo. Mtoto ataka matuzo huyo ohhh. Angalie usije ukabwaga moyo wako alafu wakakutunzia wenzio.
Amu chukua moyo wa huyu kijana hata kama huna sehemu ya kuuweka basi uhifadhi hata kwenye unyayo wako tu.
Mkuu mimi sipo ki cc, huyu dada bhana moyo wangu umemdondokea. Ni kutokana na yale anayoyaandika humu ndio yameifanya brain yangu kumjengea picha ya mtu wa ina fulani na kuvutiwa naye pia. amu nifikirie tu mimi kwenye mtima wako!
Yaani hapo andika -200 points. Mikononi mwa amu inatakiwa ueleze umejipanga vipi. Sema kijana una maghorofa mangapi Kariakoo. Mtoto ataka matuzo huyo ohhh. Angalie usije ukabwaga moyo wako alafu wakakutunzia wenzio.
Amu chukua moyo wa huyu kijana hata kama huna sehemu ya kuuweka basi uhifadhi hata kwenye unyayo wako tu.
Baba hapo umezama choo cha kike!
Am sure, list itaendelea, huu mtindo umekubalika, #FURSA #
Duuu amu unahitajika huku
nlishakuja mkuu