Huyu dada leo kanichana ukweli

MaT2B

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2019
Posts
793
Reaction score
2,379
Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.

Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
 
Jiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejesho
 
Mkuu mimi si nukii kama beberu.

Naoga mara kwa mara

Navaa nguo Safi

Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha

Nanina piga zoezi.
Hata uoge mara 10 ndo maana hata maiti inapakwa manukato japo inaosha safi...Tambua sisi binadamu mwili mzima kitokacho kidogo kama ushuzi, jasho basi huleta uchafu kwa namba yeyote kwa maana iyo manukato ni muhimu kwa kweli ni ustaarabu pia.
 
Tafuta tu mafuta ya nazi ya Parachute bwana mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…