Sio bei haizidi 10k ila ukitaka za bei zipoBei gn boss

Jiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejeshoNdugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo.
Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa(ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu.
Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza " MaT2B unatumia pyafum gan?"
Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye : Why?
Mimi : nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and i don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: but sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo.
Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K.
Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli!!???
Hata uoge mara 10 ndo maana hata maiti inapakwa manukato japo inaosha safi...Tambua sisi binadamu mwili mzima kitokacho kidogo kama ushuzi, jasho basi huleta uchafu kwa namba yeyote kwa maana iyo manukato ni muhimu kwa kweli ni ustaarabu pia.Mkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
Imetengenezwa ukweni kwako ee🤣🤣Tafuta perfume inaitwa mwanafyale![]()
Tafuta tu mafuta ya nazi ya Parachute bwana mdogo.Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo.