Huyu dada kanifedhehesha sana!

Comments zinachekesha hatarii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu nina kampuni ya kuchapisha vitabu.
Njoo tuandike vitabu maana una uwezo mkubwa wa kuandikia.
 
Nilishaambiwa na mtoto mmoja hivi "nitakushangaa sana ukiacha hii fursa ya kupendwa namna hii" mpaka special breakfast ilikuwa inakuja nikaona mh hapa mimi ndo fursa 🀣
 
Naona mkuu ulikuwa unafuta mpaka uso unahisi unaota πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…