Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,892
Nenda geto, ile imeingia tuu unasikia hodi ya mwenye nyumba, utanywea bila taarifa na kuona moto,
Nenda ghetto
Mimi mwanamke haniingilii kiakili hivyo yupo mmoja kila siku tuonane, ooh sijakuona muda mrefu, mara tupate lunch, namwambia nipo busy 😂😂
Kwani kupata lunch kuna shida gani?Mimi mwanamke haniingilii kiakili hivyo yupo mmoja kila siku tuonane, ooh sijakuona muda mrefu, mara tupate lunch, namwambia nipo busy 😂😂
Muda wa lunch yenyewe nakuwa sina chief,Kwani kupata lunch kuna shida gani?
DuOya KENZY njoo PM, nimekuelewa kichizi. Nakupenda hivyo unavyodeka deka.
#kijana tunza spiker yako ohooo.
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. ✌️
Mimi mwanamke haniingilii kiakili hivyo yupo mmoja kila siku tuonane, ooh sijakuona muda mrefu, mara tupate lunch, namwambia nipo busy 😂😂
never
Nimelia sana Kwanini umeweka picha yangu mkuu bila taarifa🙁🙁🙁
Ohooo!Oya KENZY njoo PM, nimekuelewa kichizi. Nakupenda hivyo unavyodeka deka.
#kijana tunza spiker yako ohooo.
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. ✌️
Sasa jee 😂Aisee