Huyu dada kanifedhehesha sana!

Waaa
 
Utamkubalia Tu
 
Huyo katumwa na mkeo. Kuwa makini
 
Ukishika crutch halafu break utagonga tu. Sasa hivi wadada wako mbele ya muda wamechoka kusubiri. Si ajabu kusikia anataka ukamto... bila kupepesa macho.
 
Mkuu amka kutoka usingizini usije ukafanya mambo ya ajabu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…