princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,051
Yuko wapi tumpeleke Kwa Jaji Mashauri amfutie dhamanaPamoja na agizo la Wizara ya Afya kuhusu watu kunywa maji yaliyochemshwa lakini bado kuna watu wanaendelea kukaidi agizo la Wizara,
@ChaliiYaKijengeJuu.
chek tena mkuu.Mbona simuoni??
Cheki apo kwenye picha.Yuko wapi tumpeleke Kwa Jaji Mashauri amfutie dhamana
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Hivi hajui kuwa watanzania si wajinga. Tunajua ku-analyse mambo aisee.Pamoja na agizo la Wizara ya Afya kuhusu watu kunywa maji yaliyochemshwa lakini bado kuna watu wanaendelea kukaidi agizo la Wizara,
@ChaliiYaKijengeJuu.