Je alikwambia anaona aibu kwa kukukataa kipindi kile?au umehisi tu???na ulimpa lift ili umkebehi au????Tujifunze kuwa humble,kumbuka aliekupa huyohuyo anaweza vichukua.Besides una mchumba mzurii sasa thr is no need to hate her.#very old fashion style#.
Hayo ni majigambo ya kijinga sana,kwani yee ni mawe ama chuma? Kwamba haezi isha hivi karibuni?! Haya ni maisha bana, namshauri aache kubeep kupumua na hali anaumwa tumbo bana