Mhuuu..hapa ni kwa watu wanao ota ndoto za utajiri.
mfanye nyumba ndogo umpe kigari kimoja mpangie chumba ...ndo anachostaili..side chick material
Mku...ndu kama wewe haunipi shida kabisa wala hata haukunipeleka shule ***** zako
Acha ushamba wewe pimbi
Au ni wewe nini..!??utajl unapotea xo ucdhan kama ndo kataman kurudi kwa hvyo vihela ila kashangaa 2...
Hakuna shida mbona kila mtu anaruhusiwa kuanika mali zake.Ungekuwa hata hapa nilipo wewe mtumwa sijui ungeandika nini hapa jf...
Huna chochote we makalio unajitekenya na kucheka mwenyewe una hatareee wewe.
Mkuu kweli JF imevamiwa......... And you want us to call you a grreat thinker...
Mkuu miaka saba sio shida, nikupe mfano mdogo tu wa mtu ambaye hata wewe unamkumbuka;Ni shidaa aisee,acha tu.
yani mtu ndani ya miaka 7 ametoka from nothing mpaka kumiliki kampuni,nyumba boko na vogue.Inawezekana lakini sio kwa njia halali,somewhere somehow something illegal was done kama si hvyo basi mdau anatupiga kamba kitu ambacho hapa jf si mahali pake
All in all hongera japo hukuwa na sababu ya kutangaza utajiri wako ili kuufikisha ujumbe wako tena ujumbe ungekuwa mzuri zaidi kama usingetaja mali zako.
Mkuu matusi yametokea wapi tena...Mku...ndu kama wewe haunipi shida kabisa wala hata haukunipeleka shule ***** zako
Acha ushamba wewe pimbi
Sasa unataka kumaliziaje hadithi yako ulipompa lifti akaona aibu then what..................?Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.
Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.
Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
umeonaa eeh Tina cute ???ndo mana nakupendaga ivo ivo
Majuzi ulimpa lifti.........
sijui majuzi yanayofatia utamsaidia nini
Msaidie umpe mtaji,ila ujue atakuvunjia ndoa yako maana atataka mrudiane,weka mbali na wewe kabisa