CC: Kwa wadada/wamama/wanawake wote wenye kudharau watu wasiowajua malengo yao ya kesho. Wakijilengesha na kujipeleka kwa wale ambao tayari wanavyo vya kuonekana. Wataendelea kutafunwa na kutupwa kando ya barabara kama Bazoka. Hatimaye kila siku watarudi humu na kuandika "Mara wanaume hawatulii, mara wanaume hata uwape nini hawatulii"
Mbona nyinyi hamtulii kwa maskini wenzenu Mungu aliowapa mnataka mtulie kwa matajiri tuuu.. hamjui kwa matajiri mpo wengi na lazima huduma itolewe kwa zamu. Sasa wivu wa nini tena wenzetu wasaka mali??????
Andika vizuri ueleweki, njaa hizi bhana zinanikumbusha mbali sana. Umekula mchana wa leo?
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.
Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.
Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
ame exaggerate tu sio kweliNadhani ulitaka tujue kuwa unamiliki kampuni,umejenga na una rangerover.
Shida zako ndizo zinakutuma kuandika maneno yasiyo ya kiugwana. Pole sana, fanya kazi kama hakuna kesho, siku na wewe utazikamata tu.
Ha ha ha ha!!! Njaa hiziii!!!!!!
Ungekuwa hata hapa nilipo wewe mtumwa sijui ungeandika nini hapa jf...
Huna chochote we makalio unajitekenya na kucheka mwenyewe una hatareee wewe.
Nikiendelea kubishana na wewe, watu watashidwa kutofautisha nani ni punguani na nani mwenye akili timamu. usibweteke na maisha yako. Kwaheri
Huyu ni mshamba fulani hivi asiye jielewa....