mfanye nyumba ndogo umpe kigari kimoja mpangie chumba ...ndo anachostaili..side chick material
huyo ulitakiwa umpeleke gest za buku tatu au tano wala hutumii kitanda usije ukachafuka unamuinamisha anachukua zake unamrudisha na ahadi kem kem halafu ndo ntolee hivyo, ningekuambia umpigie kwenye gari lakini naona hatakua na hadhi ya kufanyiwa kwenye Range Rover!Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.
Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.
Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
Meno ya tembo plus sembe baba yupo wizara nyeti sasa unategemea nini hapo wacha wenye machungu ya nchi tufanye maamuzi magumu 2015 kama hilo vogue lako litatembeaThread kama hizi zinanifanya nifunge JF na kurudi kazini...Kwa mtanzania kijana wa kawaida ni asilimia chache sana yenye mafanikio kama hayo. Na maisha yako yamenyooka na huna cha kuhitaji toka kwetu. What r u trying to do?