Huyu dada anaroho ngumu sana

Nalisha ongea naye sana,rafiki zake walishaongea naye sana, tena kwa mapana na marefu .Lakini wamechemsha ameng`nga`na huyu mrembo...

Mimi sijaelewa wewe yanakuhusuje. Na the way unamuaddress (mrembo) inaonesha nia yako si kumsaidia bali una lako la pembeni.
 
Kwan hakuna uwezekano wa kuishi bila huyo mwanaume?
Wadada wengine bwana,
Kwan mtaani wanaume wengine hakuna km shida ni kuwa na mwanaume!
Amenikera sn ala!
 
Pole yake, ila inabidi aangalie asijepata gonjwa manake huyo bwana anaonekana hajatulia hata kidogo :A S-coffee:!!
 
Love is blind and by the way everything has two sides good and bad so you never know what is holding her there,
 
Nalisha ongea naye sana,rafiki zake walishaongea naye sana, tena kwa mapana na marefu .Lakini wamechemsha ameng`nga`na huyu mrembo...

wewe ni ME au KE?
Na je un uhusiano gani wa karibu na huyo bidada, kaka/dada/shangazi/mjomba/ wifi/ shostito au rafiki wa kiume?
ukijibu hayo labda twaweza ona jinsi njema ya kushauri
 
Mwacheni mrembo wa watu.Hamfahamu makubaliano yao yakoje.Kama yeye haoni shida tatizo liko wapi?
 
Wanaojua sheria ya ndoa ya Tanzania watujuze, maana inawezekana huyo Dada analenga muda unaohesabika kihalali katika kukaa pamoja na kutambulika kama ndoa ufike huyo jamaa awajibike katika mambo matatu sasa: ndoa halali(kisheria), matunzo ya mtoto,kumpa mimba msichana wa kazi(pengine nayo itakuwa ndoa nyingine). Kifupi huyu jamaa anajifanya mjanja lakini atajutia ujanja wake pale wanaharaakati watakaposimamia kesi hizo tatu. Any way, sijui sheria ya ndoa ya TZ kuhusu muda wa kukaa pamoja kuhalalisha ndoa hatakama hamjafunga kulingana na taratibu.
 
Nata nipm mimi nanjia yakumsaidia lakini kuna kitu lazima nijue kama kweli unampenda na unahitaji asaidiwe naweza kusaidia kazindogo sana
Anabwana kazaa naye.
Amelazimisha kuhamia kwa bwana,
Anakaa chumba cha wageni,
Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba.
Bado huyu mdada ameng`ang`ania huko ndani.
Sijui asaidiwe vipi maana huyo bwana ni mwisho wa matatizo.

Na dada nimrembo na anakazi bomba kabisa!
 
Jamaa anajifanya hii ni hypothetical case kumbe inamhusu yeye mwenyewe.
 
hacheni izo, je kama amempata anayegusa mwisho? mademu wanakunywa sumu kisa men nyie mnasema manyanyaso!
 
Anabwana kazaa naye.
Amelazimisha kuhamia kwa bwana,
Anakaa chumba cha wageni,
Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba.
Bado huyu mdada ameng`ang`ania huko ndani.
Sijui asaidiwe vipi maana huyo bwana ni mwisho wa matatizo.

Na dada nimrembo na anakazi bomba kabisa!

Si bure analo lililomuweka hapo ndani,sio watu wote utawaeleza yako ya rohoni mengine unameza ukiwa kama mwanamke ustahmilivu muhimu, sio zuzu kama unavyo dhani mpe mda utaujua ukweli .......
 
Mimi sijaelewa wewe yanakuhusuje. Na the way unamuaddress (mrembo) inaonesha nia yako si kumsaidia bali una lako la pembeni.

Ni mrembo kweli kweli , na analipa sana!
But ni dada yangu kwa sababu ni rafiki ya dada
 
wewe ni ME au KE?
Na je un uhusiano gani wa karibu na huyo bidada, kaka/dada/shangazi/mjomba/ wifi/ shostito au rafiki wa kiume?
ukijibu hayo labda twaweza ona jinsi njema ya kushauri
mme, ni rafiki ya dada yangu
 
Back
Top Bottom