functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Habari zenu wana jamii, niende kwenye mada. Kiufupi kuna Dada huwa na mfatilia kwa muda mrefu sana, ila huwa hanielewi japo hilo sio tatizo sana, tatizo ni kwamba ananifanyia vitendo vya kuniumiza moyo kila wakati, kama vile kunioneshea mapaja yake, tumbo lake, wakati mwingine anapenda niwe karibu yake lakin nikijaribu kumshika anadai hapendi kushikwa, ila yeye anapenda kunichokoza hasa kunipiga vingumi vya kimichezo michezo, ila kubwa kuliko kinacho nitesa, sasa ameanzisha tabia ya kuvaa blauzi yenye shingo pana inayopelekea matiti yaonekane wazi, na ninaposema wazi namaanisha wazi kabisa mpaka zile chuchu za juu kabisa zinaonekana, sasa nashindwa kumuelewa huyu binti ana maana gani, na hichi ni kisa cha kweli kabisa wala sio utani, kibaya zaidi tupo nae sehem moja ya kazi kwahiyo kila siku tunashinda pamoja, wadau nisaidieni nifanyeje ili nimpata huyu demu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app