Bora umeliona hilo Mkuu"Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.
Wewe na yeye, nyote mnahitaji Msaada, Mkuu!
Habarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, Tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia Afya tele.
Niende kwenye mada, ofcn kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi, tumezoeana kwa kuwa wote tuna tabia ya kuwahi sana ofisini asubuhi, lakini pia amenizoea kuwa lazima kabla ya saa 1 lazima aniletee magazeti kwani anaelewa mazoea yangu ya kuwa nimesoma magazeti kabla ya saa 1 asubuhi, mara nyingi anapokuwa na tatizo lolote ananishirikisha, nikiweza nasaidia, na mara nyingi nimekuwa nasaidia, ila ili la leo zito.
Sikuwepo ofisini kwa takribani siku 7, ile naingia tu kaniletea magazeti na kukaa, akaanza kunielezea matatizo yake, kuwa Alhamisi alienda hospitali mgongo unauma,kufika huko Doctor akamuuliza, "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.
Amesema daktari alimuuliza huyo binti,mara ya mwisho kufanya mapenzi ni lini??kwa iyo mleta mada akaguna tu,nahisi mawazo ya mleta mada ni kua huyo binti alimtongoza kiaina,ili aweze kumsaidia kupona maumiv ya mgongo[emoji23]kwani alisema wewe ndo umsaidie? kukuletea magazeti si jambo baya hata kidogo. mimi kuna dada ambaye ni mwezi wa sita huu hupenda kuniletea chai ofisini. nakunywa namshukuru. na sometime akienda lunch anakuja na chakula kizuri for me. nakula namshukuru.sijaona kama ni tatizo. sana sana nimemwona ana roho ya upendo na huruma kwangu.
Amesema daktari alimuuliza huyo binti,mara ya mwisho kufanya mapenzi ni lini??kwa iyo mleta mada akaguna tu,nahisi mawazo ya mleta mada ni kua huyo binti alimtongoza kiaina,ili aweze kumsaidia kupona maumiv ya mgongo[emoji23]
Unataka nikusaidie namna ya kumsaidia kupata msaada? Mlete pm.Habarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia afya tele niende kwenye mada, ofisini kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi, tumezoeana kwa kuwa wote tuna tabia ya kuwahi sana ofisini asubuhi,
Lakini pia amenizoea kuwa lazima kabla ya saa 1 lazima aniletee magazeti kwani anaelewa mazoea yangu ya kuwa nimesoma magazeti kabla ya saa 1 asubuhi, mara nyingi anapokuwa na tatizo lolote ananishirikisha, nikiweza nasaidia, na mara nyingi nimekuwa nasaidia, ila ili la leo zito.
Sikuwepo ofisini kwa takribani siku 7, ile naingia tu kaniletea magazeti na kukaa, akaanza kunielezea matatizo yake, kuwa Alhamisi alienda hospitali mgongo unauma,kufika huko Doctor akamuuliza, "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.
Mkuu achana nae...nimeku PMHabarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia afya tele niende kwenye mada, ofisini kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi, tumezoeana kwa kuwa wote tuna tabia ya kuwahi sana ofisini asubuhi,
Lakini pia amenizoea kuwa lazima kabla ya saa 1 lazima aniletee magazeti kwani anaelewa mazoea yangu ya kuwa nimesoma magazeti kabla ya saa 1 asubuhi, mara nyingi anapokuwa na tatizo lolote ananishirikisha, nikiweza nasaidia, na mara nyingi nimekuwa nasaidia, ila ili la leo zito.
Sikuwepo ofisini kwa takribani siku 7, ile naingia tu kaniletea magazeti na kukaa, akaanza kunielezea matatizo yake, kuwa Alhamisi alienda hospitali mgongo unauma,kufika huko Doctor akamuuliza, "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.
Hahaha Gudume kwa chai nakuaminiaaaaahhh angeachana na hayo mawazo. mi nilishawahi kuambiwa kabisa na mdada kuwa "leo nina nyege natamani sana kunaniiiliwa" na sikukosa jibu la kumpa wala sikuguna nilimwambia tu "pole"akaitikia asante na mpaka leo ni marafiki sana. maana yeye nyege zake mimi zinanihusu nini? na mtu anaposhare nawe kitu maana yake umsaidie kwa maoni na ushauri sasa unaguna si anakuona fala?