Huyu comedian CHAUROHO namkubali sana ,

eatv wangewatoa wale wazee kina bambo wanazingua na nafasi yao wapewe hawa jamaaa wapo nondo Levo za kina masanja.tatizo muda mfupi
 
Hahah chauroho anazingua saanaa saaana. Anajiweza .kiujumla we jambo na vijambo wanaweza sana aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…