M mwanamabadiliko JF-Expert Member Oct 30, 2010 843 1,363 Feb 11, 2018 #1 Huyu jamaa muigizaji wa steshen moja ya radio kama comedian nampenda sana. Yeye anaigiza kama mtu mlafi sana yani chauroho. Ila hana umaarufu sana Attachments 20180204_184659.jpg 392.3 KB · Views: 85
Huyu jamaa muigizaji wa steshen moja ya radio kama comedian nampenda sana. Yeye anaigiza kama mtu mlafi sana yani chauroho. Ila hana umaarufu sana
Bigbootylover JF-Expert Member Oct 4, 2015 2,847 1,820 Feb 11, 2018 #2 Ha ha ha huyo jamaa ni kiboko, kifupi tu hao wote Jambo na Vijambo ni wakali
Nyendeke JF-Expert Member Jul 21, 2013 1,552 2,844 Feb 11, 2018 #4 Ofcourse Jamaa wapo Talented sana..,
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,642 18,643 Feb 11, 2018 #6 Mkuda anakula tonge kubwa analisukumiza mdomoni lote
Commander Dalton Senior Member Feb 10, 2018 198 262 Feb 11, 2018 #7 Jamaa anafahamu kazi yake sana. Huwa yupo vizuri
platozoom JF-Expert Member Jan 24, 2012 9,364 11,150 Feb 11, 2018 #8 Moja ya vipindi vichache vya kibongo navyoweza kuangalia Halafu kuna yule muongo..
M mwanamabadiliko JF-Expert Member Oct 30, 2010 843 1,363 Feb 11, 2018 Thread starter #9 Hahahahaah hawa jamaa hawavumi lakini wamo. Wako so natural, nimewapenda sana
dindilichuma JF-Expert Member Dec 19, 2015 1,637 2,496 Feb 11, 2018 #11 Wako vizuri sana hawa waungwana. Wanaigiza mazingira halisi ya kitanzania
kivyako JF-Expert Member Feb 2, 2012 14,341 12,045 Feb 11, 2018 #12 sambeke said: Huyu jamaa simkosagi kila j2 eatv Click to expand... Sangapi mkuu?
sambeke JF-Expert Member Nov 26, 2014 713 652 Feb 11, 2018 #14 kivyako said: Sangapi mkuu? Click to expand... Kumi na mbili na nusu mkuu
kivyako JF-Expert Member Feb 2, 2012 14,341 12,045 Feb 11, 2018 #15 sambeke said: Kumi na mbili na nusu mkuu Click to expand... Asante mkuu, duh nshachelewa leo
Ndoto za Kimweri Member Nov 4, 2017 33 20 Feb 11, 2018 #16 Jamaa wako safi sana kwa kuchekesha. Ila ratiba yao siifahamu vizuri huwa nakutia tu.
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Mar 21, 2013 3,282 1,806 Feb 11, 2018 #17 eatv wangewatoa wale wazee kina bambo wanazingua na nafasi yao wapewe hawa jamaaa wapo nondo Levo za kina masanja.tatizo muda mfupi
eatv wangewatoa wale wazee kina bambo wanazingua na nafasi yao wapewe hawa jamaaa wapo nondo Levo za kina masanja.tatizo muda mfupi
Word JF-Expert Member Nov 4, 2016 1,356 3,232 Feb 11, 2018 #18 Hahah chauroho anazingua saanaa saaana. Anajiweza .kiujumla we jambo na vijambo wanaweza sana aiseee
BigBro JF-Expert Member Jan 9, 2010 3,195 9,808 Feb 11, 2018 #19 Ila huyo jamaa hata kama anaigiza ila ni mroho kweli. Anafinyaga tonge kubwa sana halafu anameza bila tatizo. Atakuwa na koo pana sana yulr
Ila huyo jamaa hata kama anaigiza ila ni mroho kweli. Anafinyaga tonge kubwa sana halafu anameza bila tatizo. Atakuwa na koo pana sana yulr