Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,754
Udaktari..Kaz gn
Udaktari..Kaz gn
La sivyo huu uzi ufungwe..hahahaWeka picha ukiwa ndani ya shela
Hajielewi aisee. Anachokitafuta atakipata.Ww mwenyewe hujielewi yani umeolewa halaf bado unawasiliana na bwana wa zamani...huu ni umalaya
Hajielewi aisee. Anachokitafuta atakipata.
KwakweliKama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada
Lawama unataka tumpe nani??Kama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada
Lawama unataka tumpe nani??
Me nilishakuwa na mwanaume wa hivi anafanya vituko vyote anavyovijua yeye..akadai anaoa mm namchelewesha ..yaan n manyanyaso mwanzo mwisho... Nilikaa mwaka nikiwa single ..baadaye nkapata mwanaume mwingine..sasa baada ya kuona Niko na mwanaume mwingine hataki kuamin kama Niko na mwanaume mwingine anajishaua kunilalamikia na kuomba msamaha..Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .
Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
We humtakii mema mwenzako hahahahahahaMpe Papuchi apashe kiporo ataacha hayo maujinga
Ndio ndio itakua ni chai tu kama chai zingine[emoji23]La sivyo huu uzi ufungwe..hahaha
Haha anajutraKama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada
Na kweli n mpuuziKuna wanaume wangese jamani
Yote anayaona baada ya kuolewa??mwanzo alikua hayaoni hayo??
Mwambie aache huo upuuzi