Huyu bwana harusi pozi lake mnalionaje?

Huyu bwana harusi pozi lake mnalionaje?

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
10,309
Reaction score
8,397
Wataalamu wa kuchambua picha mnasemaje?

Nigerian billionaire businessman
Aliko Dangote’s daughter Halima tied the knot with Sulaiman Sani Bello this past weekend in Kano, Nigeria.
The young couple reportedly met at university in the UK.
The wedding festivities were spread over several days and was coordinated by Eventful owned by Yewande Zaccheus

BellaNaija1.jpg

BellaNaija3.jpg
 
anawaza mamilion ya aliko
hivi dangote ana mtoto wa kiume?
 
Unataka kuwahi...teh teh teh...

Maisha mipango, unaweza kucheki anasoma chuo gani na wewe utafute registration (joking)

anawaza mamilion ya aliko
hivi dangote ana mtoto wa kiume?
 
hiyo yaitwa Sleeping Eyes waswahili waita " macho ya nyege " Congratulations youngman.
 
Hivi sura inasema kuhusu tabia ya mtu au hisia? Mtambuzi hebu nikumbushe!

Maana kuna jamaa yangu akicheka utadhani analia
Halafu kuna mwingine akichukia ndio anaongea kwa upole na taratibu sana!
Na John Vata[kwenye hadithi ya Mkimbizi]unamkumbuka?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hapo kwa kamishna msaidizi John Vata umenikumbusha mbali...jamaa kadri anavyochukia ndio anazidi kuwa mpole!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom