Hivo vituko vipo hata hapa kwetu. Nyingine ilivunjika hata honeymoon watu hawajaanza baada ya bibi harusi kumkuta matron wake aki do na bwana harusi wake. Ndoa ikavunjikia hapo hapo, na matron alikuwa ameolewa ana mume, basi kizungumkuti hadisi kama ya kubuni but kweli limetokea bongo hapa hapa! Duh!