HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Mwe mwe si mtu wanje (wake) huyu
DUUU!!! Bw. Harusi kama si Chinga ni mpogoro!!!
waombe radhi wapogoro hata kama ni watani zakoduuu!!! Bw. Harusi kama si chinga ni mpogoro!!!
unapochagua msimamizi wa arusi yako kuwa zaidi ya makinibwana harusi akili yote kwa msimamizi tena yawezekana ni rafiki wa mkewe. Noma tupu, cheki mkono wake wa kulia!!