Huyu bwana harusi ni noumer

Huyu bwana harusi ni noumer

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
1,267
Reaction score
720
bwana harusi akili yote kwa msimamizi tena yawezekana ni rafiki wa mkewe. noma tupu, cheki mkono wake wa kulia!!
 

Attachments

  • harusi.jpeg
    harusi.jpeg
    35 KB · Views: 1,097
Hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hihihihi! duuuu ndoa ndoano
 
Hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hihihihi! duuuu ndoa ndoano
ndo maana yake, ukiambiwa mumeo alifanya hivyo siku ya harusi yako huwezi kubali mpaka upate ushahidi kama huu!! heheheheeeeeeeeeee!
 
Kuoa haina maana ndiyo mwisho wa macho kutamani kinachotakiwa ni kuishinda tamaa
attachment.php
 
Huyu jamaa noma,inaonekana zigo lake la enzi
 
hata ingekua mimi nikaona nafasi inaruhusu ningeshika kidogo!!! Si unaona msimamizi alivyo na shepu ya ukweli kumzidi bibi harusi?
 
nahisi hyu mwingine naye mke wa mtu, maana jamaa anaonekana kupenda upande wa pili,
hii ni ndoa kwa ajili ya heshima tu hakuna love hapo
 
Yule naye katuliaaa tuli akisikilizia mkono unavyofanya!
 
Na yule jamaa pale kushoto nae angemshika hivyohivyo Bi Harusi ingekuwa ngoma droo!!
 
Dah! Kijogoo hicho ni soo! Mkono mmoja kimemshika mkono bibi harusi kulia kinapapasa vikalio vya mpambe wa bi harusi!
 
Back
Top Bottom