Huyu Bulembo ni nani hapa Tanzania?

Jan 1, 2016
80
12
Nimeshangazwa Na kauli ya Bw. Bulembo ya kumtaka Bi Fatuma Karume akae kimya kuhusu uchaguzi Wa Zanzibar.

Ndio maana ninapenda kujua Hutu Bulembo ni nani ktk Tanzania mpaka amzuie Bi Fatima Karume kuzungumzia Uchaguzi Wa Zanzibar.Bi Fatima ni Mzanzibari, mpiga kura Wa Zanzibar, ana uchungu Na Zanzibar yake Na ni mwana CCM.

Bulembo si Mzanzibari, si mpiga kura Wa Zanzibar , hana uchungu Na Zanzibar Na pamoja Na kuwa ni mwana.

CCM hapaswi kumzuia mwanaccm yeyote kutoa maoni yake dhidi ya chama chake.
 
Nimeshangazwa Na kauli ya Bw. Bulembo ya kumtaka Bi Fatuma Karume akae kimya kuhusu uchaguzi Wa Zanzibar.Ndio maana ninapenda kujua Hutu Bulembo ni nani ktk Tanzania mpaka amzuie Bi Fatima Karume kuzungumzia Uchaguzi Wa Zanzibar.Bi Fatima ni Mzanzibari, mpiga kura Wa Zanzibar, ana uchungu Na Zanzibar yake Na ni mwana CCM.Bulembo si Mzanzibari, si mpiga kura Wa Zanzibar , hana uchungu Na Zanzibar Na
pamoja Na kuwa ni mwana
ccm hapaswi kumzuia mwanaccm yeyote kutoa maoni yake dhidi ya chama chake.

Usimshangae Bulembo ni Kilaza kama vilaza wengine wa CCM. Anachojua yeye ni kwamba Demokrasia ni kushabikia CCM tu. Watu kama hawa ndio wanaoshabikia machafuko nchini kwa faida yao. Yuko tayari kuhalalisha mauaji kwa mpinzani wa CCM!
 
Nimeshangazwa Na kauli ya Bw. Bulembo ya kumtaka Bi Fatuma Karume akae kimya kuhusu uchaguzi Wa Zanzibar.Ndio maana ninapenda kujua Hutu Bulembo ni nani ktk Tanzania mpaka amzuie Bi Fatima Karume kuzungumzia Uchaguzi Wa Zanzibar.Bi Fatima ni Mzanzibari, mpiga kura Wa Zanzibar, ana uchungu Na Zanzibar yake Na ni mwana CCM.Bulembo si Mzanzibari, si mpiga kura Wa Zanzibar , hana uchungu Na Zanzibar Na
pamoja Na kuwa ni mwana
ccm hapaswi kumzuia mwanaccm yeyote kutoa maoni yake dhidi ya chama chake.

Fatma Karume sio mwana CCM. Ni CUF
 
Mijitu inacomment tu kinyumbu huku haijui fatma siyo mwanaccm. Nyumbu wamekariri ukitajiwa karume basi huyo ni ccm. Ndiyo maana DJ ana mtaji mkubwa wa nyie nyumbu
 
Nimeshangazwa Na kauli ya Bw. Bulembo ya kumtaka Bi Fatuma Karume akae kimya kuhusu uchaguzi Wa Zanzibar.

Ndio maana ninapenda kujua Hutu Bulembo ni nani ktk Tanzania mpaka amzuie Bi Fatima Karume kuzungumzia Uchaguzi Wa Zanzibar.Bi Fatima ni Mzanzibari, mpiga kura Wa Zanzibar, ana uchungu Na Zanzibar yake Na ni mwana CCM.

Bulembo si Mzanzibari, si mpiga kura Wa Zanzibar , hana uchungu Na Zanzibar Na pamoja Na kuwa ni mwana.

CCM hapaswi kumzuia mwanaccm yeyote kutoa maoni yake dhidi ya chama chake.
Wewe ni nanj unashangaa mkuu
 
Mijitu inacomment tu kinyumbu huku haijui fatma siyo mwanaccm. Nyumbu wamekariri ukitajiwa karume basi huyo ni ccm. Ndiyo maana DJ ana mtaji mkubwa wa nyie nyumbu
Unakosea. Nyumbu ni hawa wanaotaka kukodi watu kutoka Zenji ili wajazie kura za umeya. Ningeandika tusi, lakini sheria hairuhusu!
 
M
Mijitu inacomment tu kinyumbu huku haijui fatma siyo mwanaccm. Nyumbu wamekariri ukitajiwa karume basi huyo ni ccm. Ndiyo maana DJ ana mtaji mkubwa wa nyie nyumbu
Mijitu pengine zaidi michizi lini Fatma karume alichukuwa cadi ya cuf
 
Uyo bulembo kwa elimu yake ya darasa la saba , kamwe hawezi kumuelewa mwanasheria Fatma karume...
 
Back
Top Bottom